Management ya fashion entertainment inayo furaha leo kuitoa official kazi yao kupitia channel ya kampuni FASHION TV
Kama kampuni chini ya C.E.O Albert dimela tunapenda kuomba support kubwa kutoka kwenu kwa kuhakikisha kazi hii inafika mbali kwa kushare na wenzetu ndani na nje ya nchi
usisahau ku subscribe channel yetu ili kuweza kupata taarifa ya mwendelezo wa street breakers na kazi zingine chini ya management ya fashion
Pia unaweza mfollow C.E.O for update insta Albert dimela
thanks for watching us
ConversionConversion EmoticonEmoticon