HADEMA WEKENI AKIBA YA MANENO*
Hili tamko la Lema ukiliangalia *objectively* ni moja kati ya *Matamko ya Hovyo* kuwahi kutokea baada ya shambulio la Mh. Tundu Lisu. *Sitaki kuamini* kwamba tamko hilo lina *Baraka za chama*
Wote tunakubaliana sote kwamba tukio lililotokea ni *ovu na lakusikitisha* lakini tukio hili lisitumike vibaya katika kutafuta *sympathy na umaarufu wa kisiasa* in a wrong way. Ni *mpuuzi tu* ndiye anaweza kumbebesha spika (as an individual) mzigo wa lawama kutokana na kilichotokea kwa Mh. Lisu.
1. *Kuhusu Bunge kuahirisha shughuli zooote* - Lema alitaka shughuli zote za Bunge ziahirishwe
- Je, jambo hilo ni la kufanywa na Ndugai AS an individual?
- Yupo Mbunge yeyote wa ukawa *aliyejaribu* kutoa hoja hiyo ikakakataliwa au kupuuzwa?
2. *Kuhusu Bunge kujadili ulinzi wa wabunge* toka majumbani kwao
- Hivi practically nchi hii inahitaji ulinzi kwa wabunge *zaidi* kuliko kwa watu wengine?
- Na kama mpaka sasa Chadema imeonesha wazi *kutokuwa na imani* na vyombo vya ulinzi na usalama vya Serikali Lema alitaka Bunge lifikie *azimio gani* katika jambo hili kwamba kila Mbunge apewe askari (asiyeaminika) ili amlinde 24/7 au?
3. Lema anamlaumu spika kwa *kuwaita kwenye kamati Mh. Kubenea na Zzk*
- Anajua hasa wameitiwa nini?
- Anaudanganya umma kwamba Kubenea ameitwa kwasababu ya kutaja utofauti wa idadi ya risasi kwahiyo Chadema imekubaliana kutumia tukio hili *kumshambulia spika* kwamba ni *muongo*?
- Maana idadi ya risasi zilizosemwa na Spika alinukuu kwamba ni kwa mujibu wa RPC sasa *tumuunge mkono* Kubenea kwa kusimama madhabahuni na kusema " *spika amedanganya umma risasi alizopogwa ni 38 na si 32*" ?
- Lema hajui kwamba kilichokuwa kikisemwa ni makisio tu, anakumbuka press ya kwanza ya Mbowe alisema Lisu amepigwa risasi ngapi?
- Zitto *kama ana hoja* kuhusu *ukiukwaji wa kanuni za Bunge* kwa kitendo cha kamati za Bunge (Almas na Tanzanite) kuwasilisha ripoti zao nje ya Bunge kwanini asipeleke hoja hiyo bungeni...Spika ndugai Uliposhika shikilia hapo hapo usiteteleke hata kidogo..watanzania wazalendo tunakuunga mkono..
Nawasilisha ni YONA mkiti wa CCM tawi la bokorani
Kupitia ukurasa wake WA facebook Joseph Yona mwenyekiti ccm yawi La bokorani

ConversionConversion EmoticonEmoticon